Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wee uzuri wako sii unakuwa upo busy na simba yako....leo vipi ihefu anatoka
Aaaah lazima bwana tukitoa droo tena leo basi ntapumzika humu jukwaani kwa muda wa mwezi hivi. Niendelee na ishu zingine
 
hawa machinga wetu wanaohangaika mitaani hatuwezi kuwajengea kitu kama hichi kweli ili jioni wakifunga panakua na madhari nzuri..........

aisee kila kitu kinahitaji ubunifu
 
Sio mpenzi Sana wa Mpira kwa na michezo kwa ujumla Ila hatuachi kupongeza wadau wa michezo kwa kua michezo huwakutanisha watu kwa umoja furaha na amani.

Niwatakie michuano mema timu zote shiriki na atakae fuzu natanguliza pongezi kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…