Ulivibetia?Vitoto vipumbavu kweli vimekazaa wew mwisho wa siku vimeachia point tatu
Kila mmoja anataka kufungaHuyu Mbappe ni hatari sana. Atulize wenge
HahahahLeo Australia ilo goal waliowah kufunga wanaweza lijutia maisha yao yote [emoji23]
Bila kumsahau harry kewellAustralia ilikuwaga na mafundi miaka ile...unakutana na kipa Mark Schwarzer, Tim Cahill, Mark Viduka
Kaafrica hakoMbappe anakosa goal halafu anacheka....yani pass kapewa tamuuu ila utulivu F
Na kasura kake kazurii..
Anakosaje Goli la wazi hivi mpira wakugusa tu yey anapiga mbali kweliMbappe anakosa goal halafu anacheka....yani pass kapewa tamuuu ila utulivu F
Na kasura kake kazurii..