Haha nimesahau kwamba ni 24 hrsKesho si ndio leo, au unamaanisha Alhamisi?
Napendaga kusikilizaga national anthem yao, kama wimbo wa kanisani 🤣🤣🤣🤣Hahaha wajeruman nao dahhh wana maajabu sana
AkuuUje wewe unipe uno ulokuwa wampa mjomba huku twacheki mechi.
Mzeya haya mambo unajasjeia tuu....leo ukikksa kesho utapata.Umemponza mwenzako
Hahahaha hawa hawajatarajia walimuogopa messi ndo maana wamepewa mizawadi kama yote. Eti hatua ya makundi tu kesho public holiday ...dah matumizi mabaya ya holiday[emoji23][emoji23]hautoamini, mimi naungana na wavaa kobazi wa Makka
Ndio fatizo lenu mnabania mbususuAkuu
Sasa unaambiwa timu yoyote iliyomfunga argentina kwenye group stage wamecheza semi final au final...nakwambia mwezi mzima kuyakuwa holiday saudia🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha hawa hawajutatajia walimuogopa messi ndo maana wamepewa mizawadi kama yote. Eti hatua ya makundi tu kesho public holiday ...dah matumizi mabaya ya holiday
HahahaSasa unaambiwa timu yoyote iliyomfunga argentina kwenye group stage wamecheza semi final au final...nakwambia mwezi mzima kuyakuwa holiday saudia🤣🤣🤣🤣🤣
Iache ibanwe haioziiNdio fatizo lenu mnabania mbususu
Sikuwezi🤣🤣🤣🤣Iache ibanwe haiozii
Australia, Canada na New Zealand wale ni Waingereza tu ila wapo eneo lingineHawa tumbuli Australia lazima tuwatafune vichwa wakamsimulie mkoloni wao muingireza aje awape msada
Vizuri pia,, yan nampendaga tu yule kakaBenzema anauwezo wa kucheza KWA sababu ni part ya kikosi na kocha hajafanya replacement yake
Wafaransa wamemimina macross ya kuombea mkopoNaangalia marudio
Kumbe Australia walianza kufunga 😺
Naona after match hawajamini namna walivyofuliwa
Tena mkopo wenye riba nafuu 🤣Wafaransa wamemimina macross ya kuombea mkopo
Hawa australia hamna kitu watajiunga na ndugu zao qatar mapema tuuTena mkopo wenye riba nafuu 🤣
Waende tuHawa australia hamna kitu watajiunga na ndugu zao qatar mapema tuu
Alhamisi kazi waayo kwa portugal.Waende tu
Ghana wanacheza lini? Watutoe kimasomaso kama wenzao wa 2010