Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Tim cahil akifunga ndo hua anashangilia kwa kupiga ngumi kibendera eh??Australia ilikuwaga na mafundi miaka ile...unakutana na kipa Mark Schwarzer, Tim Cahill, Mark Viduka
Ghana group lake ni gumu sn,inabid wapambane snWaende tu
Ghana wanacheza lini? Watutoe kimasomaso kama wenzao wa 2010
Senegal atafungwa na neds tuu nazani na ataliza na 6 pts , afuuuu MM NAONA. CROATIA LAZIMA WABEBE ASEEEEE (POINT TO NOTE REFER ILE LILILOPITA WALIFIKA FINAL WAKIWA UNDER DOGS THEN FRANCE WAKAIBUKA !)
Giroud hta Kama Benzema angekuwepo angecheza tu..Hizo goli kafikishaje,?anaaminiwa sana na kocha kuliko hyo Benzema.GIROUD kafikia record ya THIERRY HENRY ya kufunga 51 goals. Na atampita soon.
Kweli kufa kufaana.
BENZEMA kaumia lakini mwamba anaupiga sana.
Kwenye kukaba si mzuri ,bahati yake ufaransa ame dominate game ila Lucas ni Moto Wa kuotea Mbali anagonga Sana cross.....alafu Theo kiasili ni WingerTheo Hernandez yupo vizuri kuliko brother Ake Lucas henanderz
Benzema kuna muda alikuwa na matatizo ta case za ubakaji kama sikosei ikasababisha aisiitwe timu ya taifa. Kacheza match chache sana timu ya taifa.Ecuador unamuona mdogo etieee.. subir kazi
Giroud hta Kama Benzema angekuwepo angecheza tu..Hizo goli kafikishaje,?anaaminiwa sana na kocha kuliko hyo Benzema.
YahTim cahil akifunga ndo hua anashangilia kwa kupiga ngumi kibendera eh??
Haha, wacha kwanza timu yako ifike mbali ondoa hofuKumbe ndo ilivyokua FT....duuuh sasa hawa Wabrazil wangu wakikutana na hao Je parle' watatoboa kweli?.
Bundle ni kipengele mkuuKama una bundle si uende hesgoal.com
Hiyo swahili version mi niliachana nayo kitamboHawa akina maestro wanapiga stori tu badala ya kutangaza soka
Ni kipambana tuu...yaani u akjwa na attitude ya kwamba hapa tipo 32 bora wa dunia basi. Kinapigwa kipigike kama saudi arabiaGhana group lake ni gumu sn,inabid wapambane sn
Nakuomba Pmhawa Australia jezi kama ya Yanga
Hapana unaona game zote 64 mm nimelipiaHii world cup kwa dstv km huna kifurushi cha compact (56000)
Game utakazoziona ni chache mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mwenye kujua App ya kuonea mechi online( streaming)
Anisaidie link. Nataka nitazamie game ya saa Nne.
Timu zangu hapo juu nazisubiri kwa hamu kubwa sana.1.Brazil
2.German
3. Portugal
Nb: Siwapendi Argentina nitakuwa hater mkubwa wa timu hii najua wamependelewa kupewa kundi la kiboya safari yao mwisho robo fainali.
Hapo Portugal sidhani kama atavuka 16 bora ngoja tusubiriTimu zangu hapo juu nazisubiri kwa hamu kubwa sana.
kuna niniNakuomba Pm
Hapo ndio utaona pira la wakubwa, yoyote hapo anampiga mwenzake, ni tactics tu.Kumbe ndo ilivyokua FT....duuuh sasa hawa Wabrazil wangu wakikutana na hao Je parle' watatoboa kweli?.