Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ecuador unamuona mdogo etieee.. subir kazi
Senegal atafungwa na neds tuu nazani na ataliza na 6 pts , afuuuu MM NAONA. CROATIA LAZIMA WABEBE ASEEEEE (POINT TO NOTE REFER ILE LILILOPITA WALIFIKA FINAL WAKIWA UNDER DOGS THEN FRANCE WAKAIBUKA !)

GIROUD kafikia record ya THIERRY HENRY ya kufunga 51 goals. Na atampita soon.
Kweli kufa kufaana.
BENZEMA kaumia lakini mwamba anaupiga sana.
Giroud hta Kama Benzema angekuwepo angecheza tu..Hizo goli kafikishaje,?anaaminiwa sana na kocha kuliko hyo Benzema.
 
Ecuador unamuona mdogo etieee.. subir kazi

Giroud hta Kama Benzema angekuwepo angecheza tu..Hizo goli kafikishaje,?anaaminiwa sana na kocha kuliko hyo Benzema.
Benzema kuna muda alikuwa na matatizo ta case za ubakaji kama sikosei ikasababisha aisiitwe timu ya taifa. Kacheza match chache sana timu ya taifa.
 
MORROCO NAWAKUBALI MNO JESHI LA HASHRAF HAKIM SAA 7 TUNAUA MTU
 
1.Brazil
2.German
3. Portugal

Nb: Siwapendi Argentina nitakuwa hater mkubwa wa timu hii najua wamependelewa kupewa kundi la kiboya safari yao mwisho robo fainali.
Timu zangu hapo juu nazisubiri kwa hamu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom