Sana yani tena sana,i pity them kwakweliHawa Costa Rica wanatia huruma.
Nadhani ni kwa vingamuzi version mpya,vya zaman hamna hiyo optionAsante Goer davie tv ndani ya azam tv kwenye other channel..game zote ziko live...ila uwe umelipia!
Kwanza hawaoni aibu wana misuli na wababe ndo maana naanza kuamini mashoga wengi ni wale wa magym gymHaohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Vingamuz vya zamani holaaa,hyo option hamnaWale wa AzamTv chukua hiiView attachment 2425354
Nilijua tuu lazima utie neno kwenye hili DepalHapa vipi huwezi kutoboa?View attachment 2425346View attachment 2425347
Hyo other mbona kwetu wengine hakuna..Wale wa AzamTv chukua hiiView attachment 2425354
Hahaha bora latin wenzao Colombians wangeingiaHawa Costarica walifikaje WC?
[emoji3]
Wangeingia Chile au Colombia ungeona shughuli yaoHahaha bora latin wenzao Colombians wangeingia
Nenda tu kibanda umiza kalipe hiyo buku uone mechi, achana na mb 490Kwa 1000 Tsh MB 490 nitatoboa kweli?
Hii Costarica ni Iran ya wazungu.Hahaha bora latin wenzao Colombians wangeingia
Siku hiyo timu zangu zote zilikutana ,ila nilikuwa upande wa Brazil maana ndio timu yangu ya kwanza kushabikia ,zile chai za vijiweni ukifa unazaliwa upya nchi nyingine nakumbuka kipindi niko mdogo niliweka oda ya kuzaliwa Brazil kabisa.Mi sijawahi mpenda Mjerumani tokea atufunge 7 mwaka 2014
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app