Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Haohao Gaymany. Nashindwa kuelewa kwanini wana-force homosexuality kwenye jamii tofauti kabisa na zao. Kitu kinachonichanganya zaidi hizi dini zililetwa na haohao wa magharibi lakini ndiyo wa kwanza kwenda kinyume nazo.
Kwanza hawaoni aibu wana misuli na wababe ndo maana naanza kuamini mashoga wengi ni wale wa magym gym
 
Mwezi kama huu huu wa 11 mwaka 2017 Costarica walifungwa 5 kwa 0 na hawahawa Spain

Na kumbuka hawa na Spain ni jamii moja na lugha ni moja....zaidi ya 80% ya watu wa Costarica ni Waspanish waliobaki amerika ya kati kipindi cha ukoloni
 
Pale unapofika home unakutana na giza, kiza...giza totoro mtaa mzima. Nchi iko gizani wallah!
 
Mi sijawahi mpenda Mjerumani tokea atufunge 7 mwaka 2014

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Siku hiyo timu zangu zote zilikutana ,ila nilikuwa upande wa Brazil maana ndio timu yangu ya kwanza kushabikia ,zile chai za vijiweni ukifa unazaliwa upya nchi nyingine nakumbuka kipindi niko mdogo niliweka oda ya kuzaliwa Brazil kabisa.
 
Back
Top Bottom