Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022


Yah, mpira wa siku hizi inahitaji akili mingi na kujituma sana, bila hivyo mafanikio ni ngumu mno
 
Hawa Timu zinazofunga magoli mengi wangepewa ofa ya bia huko vyumbani mwao.
 
Hawa Timu zinazofunga magoli mengi wangepewa ofa ya bia huko vyumbani mwao.
Mechi za makundi waanze kusherehekea jamani! Wanaweza wakashinda na mabao mengi ivo ila wakadondoke kwenye makundi.
Mpira hudunda aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…