Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii mechi hii haya.... mtaniambia mwisho wake utakavyokuwa
 
Kutoka ZAMBIA [emoji1268] anaitwa Janny SIKAZWE
Anakumbukwa kwa kumaliza mpira Dk ya 84 baada ya kuongeza muda na kurekebisha akamaliza dk ya 89 [emoji23][emoji23] kwenye AFCON.
Lakini Mwamba yupo Qatar [emoji1203] muda huu.
Bahati ipo upande wake
 
Belgium wanalamba kadi.

Wajitahadhari na huyo refa, atawatandika nyekundu
 
Huyu refa kwanza world cup sijui ameendaje...yaani alivurinda afcon lakini yupo world cup. Africa ni connection tuu. Kuna yule refa mwengine sijui ni mrundi alikuwa bora zaidi
Eti connection 😂
 
Canada are so good, they only have to advance on umaliziaji. Basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…