Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mahali nimesema Canada ni Waafrika. Canada ipo America....nimetolea tu mfanoCanada ni waafrica?
Bora kwa kupangua maembeKipa bora leo hii ni wakusemwa hivi?
Hatujui kufunga, hatuna technicsMpaka sasa hamna timu ya africa ina goli [emoji23]
Team workHawa Canada hawa...sijui
Canada Ni nchi kutoka North America mkuu, niliwaita waafrika coz timu imejaa watu weusi,ndio maana nikawaita waafrika ( weusi) wenzetu.Canada ni waafrica?
ConnectionKutoka ZAMBIA [emoji1268] anaitwa Janny SIKAZWE
Anakumbukwa kwa kumaliza mpira Dk ya 84 baada ya kuongeza muda na kurekebisha akamaliza dk ya 89 [emoji23][emoji23] kwenye AFCON.
Lakini Mwamba yupo Qatar [emoji1203] muda huu.
Bahati ipo upande wakeKutoka ZAMBIA [emoji1268] anaitwa Janny SIKAZWE
Anakumbukwa kwa kumaliza mpira Dk ya 84 baada ya kuongeza muda na kurekebisha akamaliza dk ya 89 [emoji23][emoji23] kwenye AFCON.
Lakini Mwamba yupo Qatar [emoji1203] muda huu.
Eti connection 😂Huyu refa kwanza world cup sijui ameendaje...yaani alivurinda afcon lakini yupo world cup. Africa ni connection tuu. Kuna yule refa mwengine sijui ni mrundi alikuwa bora zaidi
Hiyo ni per game au?Mambo ya connection....tayari ana $70000 kibindoni
Sijui macho yao yapo kwenye makomwe? Hawaoni???Tungua mnazi