Hahahahaha haya bwanaNdio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!
Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Alinunaaa yani alijawa na hasira sema wenzetu weupe hawakunjagi ndita hivi ni kwanini..au sisi ndita huku kwetu ni madhara ya upepo na jua?😆😆Huko mbeleni watakutana wote timu pendwa itafika stage itawwbidi tu wakomae kivyao
Alikuwa ananiboa Ronaldo alivyokuwa ana laani baada ya Ghana kusawazisha
Fukara umetaja ww Watu hutaja mambo waliyozoea pole sana kijanaKwenye matusi huko mimi huwa siendi, siwezi kujibizana na fukara.
HawapoHivi eee basi nimechanganya madesa..hivi hao North wapo?
Kikosi gani kipana Yani utoe babu Danilo afu uingize babu Dani Alves afu useme unakikosi kipana acha kuotaUkitaka kujua maana ya kikosi kipana watizame Brazil yaani unaweza toa timu nzima ukaingiza wapya Na ball likatembea itakuwa huzuni Sana kama hawatofika mbali.
Duuuh hiz sasa ni zereu za waziwaziAtakuwa anaangalia kupitia TBC
TBC nasikia ilikuwa inaonesha Ghana anaongoza goli 2 bila
Ukiweka mahaba pembeni, Serbia huwa wanajulikana kwa miaka hii 8 iliyopita hadi sasa wako vyema saaaana kisoka.Mpira mtamu. Sema Neymar anahaha kama nini inabidi aufate mpira nyuma. Ila wamaliziaji wanamuangusha.Serbia wamedefend vizuri. Kipindi cha pili lazima tuone magoli.
Demu keshalowana chini kwa kumuangalia Neymer wapuuzi kweli hao watuNdio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!
Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ha ha ah ..Nimekaa na beki 3 wangu hapa nae ana watch game eti anasema simba na yanga wanacheza kisa ameona njano na nyekundu.
Tukimlinganisha na wenzake,kajitahidi banaHz habari za wamefungwa lakini wamejitahid ni Non sense
Tunajipa moyo kwa vitu vya kijinga .Alitakiwa ashinde full stop
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekata ?????Unaishi wapi. Sisi huku kwetu umeme umejaa tele.TANESCO hoyeeeee maramamake
Ila Jf bwana[emoji1].Fukara umetaja ww Watu hutaja mambo waliyozoea pole sana kijana