Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Player ratings HT zinaonyesha neymar ame underperfom kuliko wenzie

Mipira muhimu 18 imepotelea miguun mwake kizembe kwasababu ya kutaka kucheza na jukwaa

Aangalie ushind wa timu kwanzaView attachment 2426698View attachment 2426699
Hili kombe ni juhudi na kujituma, ustaa wa kihistoria haufanyi kazi humu

Awaulize wenzake walivyoingia na alivyotoka kama sura zilikuwa sawa
 
Mimi naona anasaidia imagine anaufuata mpira mbali .
Sehemu ya kuanzisha mashambulizi yabkasi, yeye anapoza mpira na kutaka adribo mwnyw.

Mipira mingi ya kushambulia ya Brazil inapotelea mguun mwake.

Imagine,
Possession lost 18 kati ya 35 za Brazil nzima zimepotelea mguuni mwa neymar pekee[emoji848]
 
Hili kombe ni juhudi na kujituma, ustaa wa kihistoria haufanyi kazi humu

Awaulize wenzake walivyoingia na alivyotoka kama sura zilikuwa sawa
Sahii kabisa,
Angalia leo South Korea alivowapelekea pumzi ya Moto Uruguay mpk uruguay ndie anaepoteza muda afu mpira unaisha Uruguay anashangilia sare[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…