Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Serbia ninawakubali. Waliwatia jambajamba Portugal kipindi cha qualification.Ukiweka mahaba pembeni, Serbia huwa wanajulikana kwa miaka hii 8 iliyopita hadi sasa wako vyema saaaana kisoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serbia ninawakubali. Waliwatia jambajamba Portugal kipindi cha qualification.Ukiweka mahaba pembeni, Serbia huwa wanajulikana kwa miaka hii 8 iliyopita hadi sasa wako vyema saaaana kisoka.
Anawachoma wenzie kwa kupenda kucheza na jukwaa[emoji3525]Neymar ni FALA sana
Poleni.Rip Magu
Mimi naona anasaidia imagine anaufuata mpira mbali .Anawachoma wenzie kwa kupenda kucheza na jukwaa[emoji3525]
Tupo gizani alafu hii hali naona inazoeleka.Poleni.
[emoji1787]wacha tule kwa macho sio mbayaNyie endeleeni kumtamani Neymar ila sisi sura kama gari za tata ndio tupo Tz
Baadhi wameniombambona wajinga tena na mtu akiliwa analiwa hela yake ambayo hakukuomba??
Poleni, viongozi wana kiburi mabwanyenye wauza magenerator na mafuta walishatoa chao .Tupo gizani alafu hii hali naona inazoeleka.
Tubet basi [emoji16]Una roho ngum
Hili kombe ni juhudi na kujituma, ustaa wa kihistoria haufanyi kazi humuPlayer ratings HT zinaonyesha neymar ame underperfom kuliko wenzie
Mipira muhimu 18 imepotelea miguun mwake kizembe kwasababu ya kutaka kucheza na jukwaa
Aangalie ushind wa timu kwanzaView attachment 2426698View attachment 2426699
Brazil mkishinda niitea amina mitako[emoji846]Kaa hapo
Sehemu ya kuanzisha mashambulizi yabkasi, yeye anapoza mpira na kutaka adribo mwnyw.Mimi naona anasaidia imagine anaufuata mpira mbali .
ni bishoo tatizoMimi naona anasaidia imagine anaufuata mpira mbali .
Itakuwa umebet wewe.Kazi ipo kikubwa tunataka ushindi Brazil
Utamaliza majina yote rafiki angu daaah nimecheka sana🙂😆😆😆😆😆😆😆😆Brazil mkishinda niitea amina mitako[emoji846]
Sahii kabisa,Hili kombe ni juhudi na kujituma, ustaa wa kihistoria haufanyi kazi humu
Awaulize wenzake walivyoingia na alivyotoka kama sura zilikuwa sawa
Sinaga huo muda... ninataka timu yangu ishinde that's it..yani mimi ni mbrazili pyuaaaItakuwa umebet wewe.