Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mbona za Mpwayungu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» Nakadori Brazil ninaipenda na nina mahaba nayo, hata kuielezea siwezi.
πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·
 
Hawa Brazil hamna kitu. Wakikutana na Japon,hawatoboi. Mpaka sasa Saud Arabia ndo team iliyocheza vizuri kwa kweli.
Unaizungumzia Brazil ipi lakini jamani... Mana hii wanaonza kikosi cha kwanza ni moto na wanaotokea sub ni balaa kabisa.. katika makocha ambao wana kaz ngumu ni huyu wa Brazil.. akose hili kombe sijui atawaeleza nini wakereketwa wa hii timu og
 
Sio rahisi atoboe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…