Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa Brazil hamna kitu. Wakikutana na Japon,hawatoboi. Mpaka sasa Saud Arabia ndo team iliyocheza vizuri kwa kweli.
Unaizungumzia Brazil ipi lakini jamani... Mana hii wanaonza kikosi cha kwanza ni moto na wanaotokea sub ni balaa kabisa.. katika makocha ambao wana kaz ngumu ni huyu wa Brazil.. akose hili kombe sijui atawaeleza nini wakereketwa wa hii timu og
 
Sio rahisi atoboe
 
Best goal ever tokea Mbugi la WC lianzee
C0A4C05F-FAD7-453F-8640-F0E1E95E97AF.jpeg
 
Back
Top Bottom