Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ajue kuwa Neymar kaifungia Brazil goli 75, mbili tu nyuma ya magoli 77 aliyofunga Pele. Na possibly kwenye haya mashindano Neymar anaweza vunja hiyo rekodi ya Pele
 
Unaizungumzia Brazil ipi lakini jamani... Mana hii wanaonza kikosi cha kwanza ni moto na wanaotokea sub ni balaa kabisa.. katika makocha ambao wana kaz ngumu ni huyu wa Brazil.. akose hili kombe sijui atawaeleza nini wakereketwa wa hii timu og
Kuna watoto humu usisahau
Brazili kwenye Fifa ranking no. 1
Hata timu B ya Brazil inaweza ikachukua hili kombe mbele ya Argentina na hao favourites wengine
 
Tuliza kwanza fuvu ndio utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…