lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Ajue kuwa Neymar kaifungia Brazil goli 75, mbili tu nyuma ya magoli 77 aliyofunga Pele. Na possibly kwenye haya mashindano Neymar anaweza vunja hiyo rekodi ya PeleAta kulaumu game ya UEFA final mbape clear chance anampa Nuer
Unamlaumu vipi Neymar?
Game na Madrid kachoma Dounaruma unamlaumu.vipi Neymar?
Ubaya mmekalili kuwa Neymar vyenga so timu ikizungua ni neymar
Izo ni mentality za wabongo ila EUROPE
Wanajua impact ya Neymar uwanjani ndo maana hutoona ney Anawekwa bechi ata azingue vipi