Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kuuliza tu, hivi dstv hawana app ya kwenye simu kama ile ya azam max? mana nimedanlod mydstv nimeweka namba ya kingamuzi nashangaa wananiambia tena nilipe!
Magoli yote matatu ya Portugal yalikuwa offside (angalau goli la Joao Felix linaweza kuwa na debate , lakini goli la Raphael Leao iko wazi ni offside, ebu angali hizi picha na refa hakutaka hata kutumia VAR. Tutaendelea kuchezewa michezo ya kitoto Afrika hadi lini.
Huyu mwamba yupo vizuri mno kwenye hilo eneo huenda ana mazoezi makali mno...Ila Ronaldo anaruka hewani balaa!View attachment 2427151
Spain wataenda kufia mbali. Only brazil & France ndio wanaweza kumchalenge Spain.Hizo timu zilizofunga magoli mengiii hazifiki robo fainal including Spain
Walikuwa wanakadiria muda kidogo sana, say dakika kama 3 au 4 hivi.I thot ilikuaga hivo tangu zamani,inashangaza hawakufikiria hivi mapema. So zaman walkua wanakadiria tu au?
France, Spain, Brazil wana vijana wazuri mno wenye vipaji vya soka la kisasa.MD1 is complete.
Which nation impressed you the most during the first round of fixtures? [emoji2956]
#FIFAWorldCup
Me: Ghana, Saudi Arabia, Japan
Lilikua goli kabisa lile...What a missing!!!
Nenda kajisajili kwanza kwenye website yao ndio urudi utumie appKuuliza tu, hivi dstv hawana app ya kwenye simu kama ile ya azam max? mana nimedanlod mydstv nimeweka namba ya kingamuzi nashangaa wananiambia tena nilipe!
Hivi bale yupo Wales?Iran hii nafasi wataijutia. Ilipigwa counter ya maana. Jamaa akafyatua mkwaju ukagonga mwamba na kurudi tena ndani. Ukapigwa mkwaju mwingine ukagonga tena mwamba. Ukarudi jamaa akatia kichwadhaifu nyanda akadaka.
Dk ya 54. 0-0