Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mpira umekua kwa sasa, karibia nchi nyingi zimebadilika sana kisoka, huku bongo ndio ujinga mwingi saana.. eti timu pendwa zisifungwe au kutoa sare kocha atajuta hapo na benchi lake + viongozi.. mambo ya kizamani sana..
 
Soka linatakiwa likue pamoja na fikra za watu

Huku bongo soka limekuwa ila fikra za mashabiki bado ni too lazy
 
Wajinga ni wengi nchi hii ndio mana hata watawala wanajipigia watakavyo... Mashabiki wanatakiwa wajue kuwa timu zao pendwa zinapofungwa / kudraw na timu wanazoona wao kuwa ni ndogo wajue kuwa ndio soka linakua namna hiyo.. sio ajabu Man City kufungwa na Norwich City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…