Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

🇦🇷🇦🇷🇦🇷
 
Hata Leo mliwaombea vibaya ila wametoboa...
Messi mchezaji mkubwa hakosi mbinu za kufunga bwana baada ya kuusoma mchezo
Si lazima upendacho wewe Nakadori kila Mtu apende, Watu tutakuwa kama ng'ombe ambaye hachagui aina ya msosi kila ng'ombe ni nyasi kwa kwenda mbele [emoji1787]

Hata hivyo bado kamati ya roho mbaya dhidi ya Argentina niko hapa, naendelea kukaza dua [emoji28]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Me wala sijalazimisha mtu ampende Messi au aipende Argentina
Ila nimewakumbusha tu mlivyotunyanyasaaa wakati ndo kwaaanza tumeanza
Dua njema na mm naomba ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…