Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Msione kmy washabik wenzang wa LA Albiceleste kiukwl nilishindwa a angalia game hii nimewasha data game ilikua na presha.

Maneno yalikua mengi sana lkn tumeonesha kwnn sisi ni Mabingwa Wa South America na tulimfunga team yao pendwa kwao pale Brazil.

Vamonos [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
🇦🇷🇦🇷🇦🇷
 
Dunia nzima ilikuwa inataka Argentina ishinde kwasababu ya Messi.
20221127_000101.jpg
20221127_000156.jpg
20221127_000204.jpg
 
Hata Leo mliwaombea vibaya ila wametoboa...
Messi mchezaji mkubwa hakosi mbinu za kufunga bwana baada ya kuusoma mchezo
Si lazima upendacho wewe Nakadori kila Mtu apende, Watu tutakuwa kama ng'ombe ambaye hachagui aina ya msosi kila ng'ombe ni nyasi kwa kwenda mbele [emoji1787]

Hata hivyo bado kamati ya roho mbaya dhidi ya Argentina niko hapa, naendelea kukaza dua [emoji28]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Me wala sijalazimisha mtu ampende Messi au aipende Argentina
Ila nimewakumbusha tu mlivyotunyanyasaaa wakati ndo kwaaanza tumeanza
Dua njema na mm naomba ujue
 
Back
Top Bottom