computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Belgium anaweza shinda 1-0 na Morocco akafungwa 1-0 siku ya mwisho itaamua licha Canada [emoji1063] ni dhaifu ila unaweza ukashangaa kama game ya Japan vs Costa Rica au Argentina vs Saudi Arabia kwa sasa Morocco lazima ashinde au atoe sare ni lazimaAsilimia 99 mkuu, maana Belgium akimfunga Croatia goal difference itazidi kuwa kubwa, itabidi ili Morocco atoke Canada amfunge Morocco goli za Kutosha.
Wa morroco wapoKovacic + brozovic + modric
Lete midfield wako wanyooshwe
Sasa hivi Croatia kapata la 3 kundi limekua gumu, unless Canada apate la pili.Belgium anaweza shinda 1-0 na Morocco akafungwa 1-0 siku ya mwisho itaamua licha Canada [emoji1063] ni dhaifu ila unaweza ukashangaa kama game ya Japan vs Costa Rica au Argentina vs Saudi Arabia kwa sasa Morocco lazima ashinde au atoe sare ni lazima
Lazima awafunge.Kwa matokeo haya sasa ni lazima Morocco atoe droo na Canada ili apite
Yule Boufal alikuwa anapita tu.Wa morroco wapo
YapiOyaa matokeo ya kushangaza yataokea leo
Refer Argentina vs Saudi Arabia au Japan vs Costa Rica au Belgium vs Morocco mpira haupo hvyoLazima awafunge.
Anaweza akafuzu hata akifungwa kamaMechi ijayo Bila droo au ushindi Morroco hatofuzu
Ajentina anatoka mapema tuGemu ya argentina na poland
ikiwa sare
Saudia akamgonga mexico
Hamuoni safari ya huyo mesi imeishia hapo
Kwa iyo mesi asali sana au amuombe mexico ashinde au adraw
[emoji1787]BUSH BIN LADEN nishushe kituo kinachofta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Ujerumani anampiga Spain mapema tuYapi
Hapa wanaosonga ni Croatia na Morocco.Anaweza akafuzu hata akifungwa kama
1. Croatia atamfunga Ubelgiji
2. Ubelgiji atamfunga croatia goli nyingi kuliko goli ambazo Canada kamfunga Morocco.
3. Wakitoa draw na Morocco akifungwa chini ya goli 3.
Tako lako
Em kadiriaTako lako lina kilo ngapi?
Canada sioni kama wana huo mpango wa kupata la 2Sasa hivi Croatia kapata la 3 kundi limekua gumu, unless Canada apate la pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BUSH BIN LADEN nishushe kituo kinachofta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Uongo umeanza lini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Moroco kinachowabeba wako karibu sana na ulaya. Unaambiwa kuna maeneo Moroco ukipanda juu ya mti unaiona baadhi ya mitaa Spain na Ureno
Eeeh?[emoji23][emoji23][emoji23]Unazungumzia strait of giblatar
Pale wanasema ukiweza kuogelea tu inafika ulaya hapo