computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Belgium anaweza shinda 1-0 na Morocco akafungwa 1-0 siku ya mwisho itaamua licha Canada [emoji1063] ni dhaifu ila unaweza ukashangaa kama game ya Japan vs Costa Rica au Argentina vs Saudi Arabia kwa sasa Morocco lazima ashinde au atoe sare ni lazimaAsilimia 99 mkuu, maana Belgium akimfunga Croatia goal difference itazidi kuwa kubwa, itabidi ili Morocco atoke Canada amfunge Morocco goli za Kutosha.