SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,356
Duh umetabiri batili Sana Hawa argentina au wengine Kama uliona game ya Mexico ndio utajuwa Hakuna timu paleKati ya Argentina na Spain mmoja wapo atachukua kombe
Nyinyi mnaangalia mpira tofauti na huu ninaoangalia mimi?Wamepooza
Tuwatazamie zaidi kwenye WC ijayo, hii ya sasa nadhani wamekuja kukua na kupata uzoefu.The midfield is on fire!
Project ya Spain imelipa, hawa watoto ni tishio!
Wametoka sareHapa Germany anashinda goli moja ama wanatoka sare.
Hamna kitu ila wakashinda?Duh umetabiri batili Sana Hawa argentina au wengine Kama uliona game ya Mexico ndio utajuwa Hakuna timu pale
Hii style ya mavazi si ilipigwa marufuku na wenyeji?Pia alienda dressing room kuwahimiza wachezaji wote wa Croatia! 🤗 Soka raha banaView attachment 2429371
Ndio huohuoNyinyi mnaangalia mpira tofauti na huu ninaoangalia mimi?
Azam Tv hatuna options nyingine zaidi ya TBC YA KISHINDOAchana na hii Tv utaugua macho. Hawa ni wazuri kwenye vipindi vya Usalama barabarani na uraia (UBU)
Mkuu Argentina hana team ya kutisha kama jinsi ambavyo alitabiriwa.Hamna kitu ila wakashinda?
Basi yanga itachukua kombe la dunia mwaka huu🏃Kwa hiyo unatuona sisi wabrazili ni mambwisye kuweni na adabu bana. Tambueni uwepo wetu
Nawalivo na mkwara sasa. Eti Mbungi liveAzam Tv hatuna options nyingine zaidi ya TBC YA KISHINDO
🤣🤣🤣🤣Nawalivo na mkwara sasa. Eti Mbungi live
Busquets tayari amepata kadi ya njano, atapunguza aggressiveness. Akina Jamal Musiala wakifanya homework yao vizuri wanaweza kupenya.Tuwatazamie zaidi kwenye WC ijayo, hii ya sasa nadhani wamekuja kukua na kupata uzoefu.
Kocha wa Ger achange karata zake vizuri kuwaua Spain katikati ya dimba atafanikiwa.
HalfTime bilabila.Wametoka sare
Kombe ni letu wafaransaKwa hiyo unatuona sisi wabrazili ni mambwisye kuweni na adabu bana. Tambueni uwepo wetu