Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Spain atafungwa kwa mipira iliyokufa.
 
Wajerumani bana waliwagongesha sana stiki babu zetu kwenye ujenzi wa reli ya kati. Imagine mdingi anagongeshwa stiki hadi anashindwa kukaa siku 3 makalio yanawaka moto. Siwezi kuipenda nchi ya hivi
Tangu wawajengee ile reli mpaka leo ni miaka zaidi ya 100 mmeshindwa kutengeneza railway network kama ile.

Hii ni kwasababu hakuna anayewaforce kama ilivyokuwa kwa babu zenu ndiomaana mnashindwa, walikuwa sawa kuwapiga kama mbwa.
 
Tangu wawajengee ile reli mpaka relo ni miaka zaidi ya 100 mmeshindwa kutengeneza railway network kama ile.

Hii ni kwasababu hakuna anayewaforce kama ilivyokuwa kwa babu zenu ndiomaana mnashindwa, walikuwa sawa kuwapiga.
We unaongea hivi ukiwa raia wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…