Kwahiyo huu uzi umegeuka wa kujadili habari za Mashoga na sio WC - Qatar???Yule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.
Utasikia wengine mbna kaoa na ana watoto, utadhan wameambiwa shoga hawezi oa au kuzalisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama asingechoka ingekuwaje?Casemiro ashachoka huyo
Wewe kuwa mvumilivuTim yangu ishafungwa nalalaaaa
Umeihifadhi kabisa[emoji16]
Edited 100%Sasa ndugu yangu unadhani zile picha alipiga private kisha zikasambaa bahati mbaya? Picha zingine zinazoashiria kuwa jamaa ni gay ziko wapi?
Watu ambao wanapromote issue za ushoga wanatumia pesa nyingi sana kujaribu kuaminisha watu kuwa ni Jambo la kawaida
kuna baadhi ya mastar au watu wenye ushawishi mkubwa duniani hutumika kutengeneza controversial events kisha hizo events au pics kuwekwa kwenye majukwaa Yao, either website or magazine
Hawa watu maarufu sana duniani kila wanachofanya ni pesa, ukiishi Kwa kujudge maisha ya watu kupitia picha basi dunia ya leo kila mtu atakuwa gay
Mfano ni Kwa WizKid kupitia cover ya album yake ya made in Lagos, wengine kuona tu lile pozi aliloweka teyari wameanza kumshtumu kuwa jamaa ni gay bila kuwa na issue yoyote ile katika kuthibitisha hilo
Yani kupitia picha tu watu wana conclude hisia zao na kuaminisha watu wengine kuwa mawazo yao ni sahihi
Anyway, Vipi na hizi picha za ndugu yetu La Pulga zilipotoka na kutumika kwenye website za watu wa upinde uli judge vipi mwenzetu View attachment 2430173
Pamela kipini[emoji16]Hivi nyie hamsinziagi?
Sare uhakika kwao coz Uruguay ata kuwa na point mbili na korea hawezi mfunga urenoGhana wana kazi ya kuwatandika hawa Uruguay. Wakaze hasa siku hiyo, Sare haina uhakika sana.
Apende dhambi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah huu mwaka tuoaneee, tufunge na ndoa kabisaa, sio kwa kunipenda hukuuu lol.
Na wewe toka lini?Kwa taarifa yako Gay wa kulipwa ili ajitangaze ni yule jamaa wa prison break. Yule hata mie nasema kajitangaza ili kuu promote ushoga, ila yeye sio shoga.
Cr7 ni chakulaaaaaaa tangu mdaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yesyour rich tubet leo mwananguKwa hiyo qatar leo wanakamilisha tu mzunguko? Sema sio mbaya si wapo home wanawahi wapi
Tuongelee na yale magoli ya Cameroon, imekuwaje si offsidePenalty nyingi za haya mashindano kiukweli zina utata sana, mtu kaanguka kaweka balance ya mkono inakuwaje tuta kwahiyo refa alitaka afikie nyonga?
Ghana anafungwaGhana wana kazi ya kuwatandika hawa Uruguay. Wakaze hasa siku hiyo, Sare haina uhakika sana.
Ghana yeye akitoa sare na Uruguay kapenyaGhana wana kazi ya kuwatandika hawa Uruguay. Wakaze hasa siku hiyo, Sare haina uhakika sana.
Ana hasira mno kudusLuis Suarez popote ulipo jiandae kutuambia kwa nini ulidaka goli la Asamoh mwaka 2010.
Mikoba ya Asamoh ipo sehemu salama kwa kijana Kudus