Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Yule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.

Utasikia wengine mbna kaoa na ana watoto, utadhan wameambiwa shoga hawezi oa au kuzalisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo huu uzi umegeuka wa kujadili habari za Mashoga na sio WC - Qatar???

Tafadhali anzisheni uzi wenu wa kujadili hayo, muache huu mpaka tufike final

Moderator mzingatie hili
 
Sasa ndugu yangu unadhani zile picha alipiga private kisha zikasambaa bahati mbaya? Picha zingine zinazoashiria kuwa jamaa ni gay ziko wapi?

Watu ambao wanapromote issue za ushoga wanatumia pesa nyingi sana kujaribu kuaminisha watu kuwa ni Jambo la kawaida

kuna baadhi ya mastar au watu wenye ushawishi mkubwa duniani hutumika kutengeneza controversial events kisha hizo events au pics kuwekwa kwenye majukwaa Yao, either website or magazine

Hawa watu maarufu sana duniani kila wanachofanya ni pesa, ukiishi Kwa kujudge maisha ya watu kupitia picha basi dunia ya leo kila mtu atakuwa gay

Mfano ni Kwa WizKid kupitia cover ya album yake ya made in Lagos, wengine kuona tu lile pozi aliloweka teyari wameanza kumshtumu kuwa jamaa ni gay bila kuwa na issue yoyote ile katika kuthibitisha hilo

Yani kupitia picha tu watu wana conclude hisia zao na kuaminisha watu wengine kuwa mawazo yao ni sahihi

Anyway, Vipi na hizi picha za ndugu yetu La Pulga zilipotoka na kutumika kwenye website za watu wa upinde uli judge vipi mwenzetu View attachment 2430173
Edited 100%
 
Kwa hiyo qatar leo wanakamilisha tu mzunguko? Sema sio mbaya si wapo home wanawahi wapi
 
Kwa taarifa yako Gay wa kulipwa ili ajitangaze ni yule jamaa wa prison break. Yule hata mie nasema kajitangaza ili kuu promote ushoga, ila yeye sio shoga.

Cr7 ni chakulaaaaaaa tangu mdaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe toka lini?
 
Penalty nyingi za haya mashindano kiukweli zina utata sana, mtu kaanguka kaweka balance ya mkono inakuwaje tuta kwahiyo refa alitaka afikie nyonga?
Tuongelee na yale magoli ya Cameroon, imekuwaje si offside
 
STAKE A WIFE
Screenshot_20221129-074440~2.jpg
 
Back
Top Bottom