Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kwahiyo huu uzi umegeuka wa kujadili habari za Mashoga na sio WC - Qatar???Yule Joe Depox waliachana baada ya Joe kuwa na Jeff, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zile picha za CR7 ni mbayaa, sema hakuandamwaaa sanaa, huwa najiulizaga mbna haaandamwi hata hivyo wengi washa sahau.
Utasikia wengine mbna kaoa na ana watoto, utadhan wameambiwa shoga hawezi oa au kuzalisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhali anzisheni uzi wenu wa kujadili hayo, muache huu mpaka tufike final
Moderator mzingatie hili