Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hisia zangu zinanituma fainali itakuwa kati ya Germany na Argentina au ni timu yoyote ya Africa
 
France anasifiwa sana ila siku atakapokutana na timu inayoeleweka, lazima afungashiwe virago
 
Kocha wa Agentina sio mzuri kwenye kuchagua kikosi

Dogo hakupata nafasi sababu coach alihitaji mabeki warefu wa kuweza pambna na kina lewandowsk hasa kwenye mipira ya cross na set pieces. Poland wachezaji wao ni warefu, Dogo ni mfupi asingeweza mikiki ya kina lewandowsk. Argentina walifanikiwa kuwadhibiti Poland. Hawa Poland mnawadharau sana ila ni timu nzuri sana sasa subirien game yao na France ndo mtawaona vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…