Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wanaupiga mwingi mkuu (rekodi yao ni semi final wc2018, fainali euro2020)

Sio wa mchezo mchezo

Mimi sio shabiki wao

Ila wana uwezo mkubwa wa kucheza na timu hizo kubwa na kuoata matokeo

Ila tuone mechi yake na Senegal tutajua zaidi
Kwa Senegal atapita, lakini kwa wakubwa wenziye sidhani kitu kama hicho Chifu [emoji87]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
That was my point when Poland alikuwa anaongoza kundi.
 
Hao bookies hawajanunua game nyinginezo? Hivyo vitu vimekaa kidhahania zaidi

Ndiomana nilimalizia hii kitu kwa haraka kuamini ni ngumu sana.
Mimi pia sikuamini but after game nikaona inaweza kuwa kweli.
Bookies wanaharibu sana futbol , na sio rahisi kufahamu.
Me niliwapinga sana wote mpaka jamaa angu wa abroad
 
Ni kweli hii michezo ipo hata jana France wamechezea watu akili

Me mwanzo sikuamini kabisa, ila baada ya kutokea kweli. Nikawa sina namna haya mambo yapo tena kwenye zile team ambayo watu tumeipa 100% ya ushindi then wanacheza kamari[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mdau alitupia mchanganuo wa TBC kuonyesha mech tafadhar atume tena au leo game ip itaonyeshwa na muda gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…