Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Point ya Jamaa ni kwamba mpaka dakika ya 73 Costa rica alikuwa anaongoza vs Germany, hivyo matokeo yangebaki vile vile Spain walikuwa wanatoka
 
Mnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
Kuna watu walisema eti Mwarabu alininua ile game na Muagent,kwa hiyo na Japan wamenunua game zote mbili? Kuna watu wana mawazo finyu sana,kombe la dunia mwaka huu ni tofauti na yaliyopita
 
Acheni kujifanya manabii..USA na Germany nani kinara wa kusupport ushoga? C angetoka baba lao la ushoga (USA) asingefuzu hatua ya mtoano!!
Germany 2014 alivyotwaa kombe la dunia alikuwa hajaanza kusupport ushoga? 2018 alivyotoka hatua ya makundi alikuwa ana support ushoga? Qatar na Saudi Arabia wametoka hatua ya makundi vipi nao walikuwa wana support ushoga?
Mpira umebadilika hakuna cha ushoga wala nini
 
Game ya Spain ilikuwa fixed.

Lengo tu akutane na Morocco amchabange atoke
 
Baada ya Ujerumani kupata Goli la 3 camera ilikuwa inamuonesha kabisa Enrique anawapa matokeo wachezaji warelax, nikipata clip nitaiweka.
wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?
tuacheni utani, japan wameshinda kihalali, spain alizidiwa kabisa na so far akikutana na watabe atatolewa
 
Mnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
Sijawahi kuona fans wenye akili fupi tangia world Cup ianze kama wa Spain Germany kafungwa na Japan dunia ikashangaa but wao kufungwa na Japan wanasema game ilikuwa fixed hehehehe ni kama kusema Argentina [emoji1033] alifungwa na Saudi Arabia because walihongwa paundi bilions na hawa fans nimeamini football hawaijui na akili zao ni finyu na waanaamini watamtoa Morocco [emoji1173] ambaye aliwalambisha sakafu Belgium [emoji1045] tena kwa goli 2-0 hehehehehe unapoteza muda kuwajibu wapotezee
 
wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?
tuacheni utani, japan wameshinda kihalali, spain alizidiwa kabisa na so far akikutana na watabe atatolewa
Wakati ule spain walikuwa wanashambulia na Japan walikuwa wanaokoa, ila dakika za mwisho spain walikiwa wanapiga piga tu pasi za pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…