Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #13,601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ya Jamaa ni kwamba mpaka dakika ya 73 Costa rica alikuwa anaongoza vs Germany, hivyo matokeo yangebaki vile vile Spain walikuwa wanatokaWewe fala mpira umeaangalia kweli ,mpaka HT Spain anaongoza na kocha was Spain alikuwa anaangalia matokeo ya German ,so alipiga hesabu GD na dakika zilizobaki ,akajua German hawezi wafikia akalegeza gia ,Japan wakafunga na kuongoza ...
Huwezi elewa kijana ....tulia ...
Mpira NI akili hakuna kubebana vitani
Kwani IPO uko kwani si IPO ulaya kwa kina lefurance
Netherlands, Argentina, Japan, Morocco, France, Senegal hawa ndio nawaona wakisogea kwenda mbele. Hao wengine wameingia kibahati tu hapo wakiongozwa na Spain na sioni wakibadilika.
Hili goal sielewi lilikubaliwaje na mpira ulitoka
Baada ya Ujerumani kupata Goli la 3 camera ilikuwa inamuonesha kabisa Enrique anawapa matokeo wachezaji warelax, nikipata clip nitaiweka.Mnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
So game yeye Germany [emoji629] anafungwa na Japan alimfanyia nani makusudi.Spain kama kamfanyia makusudi Germany ili atoke
Spain wameacha kucheza dakika ya 75.Baada ya kujua watashika nafasi ya pili.Point ya Jamaa ni kwamba mpaka dakika ya 73 Costa rica alikuwa anaongoza vs Germany, hivyo matokeo yangebaki vile vile Spain walikuwa wanatoka
Kuna watu walisema eti Mwarabu alininua ile game na Muagent,kwa hiyo na Japan wamenunua game zote mbili? Kuna watu wana mawazo finyu sana,kombe la dunia mwaka huu ni tofauti na yaliyopitaMnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
Hata mie naona hivyo. Wale wazee wa Croatia wataenda kukimbizwa sana.Japan Vs croatia
Croatia anatoka
Japan anaenda robo fainali
Mpira chini unakuwa mwembamba na kati una mahips, camera ya chini inaonesha chini ya mpira umetoka, lakini mahips ya mpira bado yalikuwa kwenye line, camera ya Juu ya var imeonesha mpira haukutoka.Hili goal sielewi lilikubaliwaje na mpira ulitoka
Acheni kujifanya manabii..USA na Germany nani kinara wa kusupport ushoga? C angetoka baba lao la ushoga (USA) asingefuzu hatua ya mtoano!!Nilisema katk Uzi wangu kuwa ujerumani atavuna alichopanda yoyote anayesapoti ushoga wasi wasi Hana nafsi katk world cup
Ujerumani imevuna alichopanda mjini Doha
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili...www.jamiiforums.com
wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?Baada ya Ujerumani kupata Goli la 3 camera ilikuwa inamuonesha kabisa Enrique anawapa matokeo wachezaji warelax, nikipata clip nitaiweka.
Sijawahi kuona fans wenye akili fupi tangia world Cup ianze kama wa Spain Germany kafungwa na Japan dunia ikashangaa but wao kufungwa na Japan wanasema game ilikuwa fixed hehehehe ni kama kusema Argentina [emoji1033] alifungwa na Saudi Arabia because walihongwa paundi bilions na hawa fans nimeamini football hawaijui na akili zao ni finyu na waanaamini watamtoa Morocco [emoji1173] ambaye aliwalambisha sakafu Belgium [emoji1045] tena kwa goli 2-0 hehehehehe unapoteza muda kuwajibu wapotezeeMnaosema mechi ya spain ilikua fixed msituchore asee....alikua anaenda kutoka sema huruma za wajerumani zimewabeba ..Wao sio wajinga kuji risk ivyoo
Adidas wana ajenda zao za siriHili goal sielewi lilikubaliwaje na mpira ulitoka
Wakati ule spain walikuwa wanashambulia na Japan walikuwa wanaokoa, ila dakika za mwisho spain walikiwa wanapiga piga tu pasi za pembeni.wakati costarica anaongoza 2-1 na japan anaongoza 2-1 ilikuaje?
tuacheni utani, japan wameshinda kihalali, spain alizidiwa kabisa na so far akikutana na watabe atatolewa