Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huku TBC mambo ni tofauti kidogo

Mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa huu muonekano mbovu tunauona sisi tu ila hawa watangazaji wao ni clear HD kumbe nilikuwa nakosea

Mtangazaji anatafsiri tukio la foul kuwa ni Offside imenibidi tu nicheke
 
Cameroon wamekoswa hapa, kipa kaucheza mpira umetoia nje na umekuwa kona
 
Huku TBC mambo ni tofauti kidogo

Mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa huu muonekano mbovu tunauona sisi tu ila hawa watangazaji wao ni clear HD kumbe nilikuwa nakosea

Mtangazaji anatafsiri tukio la foul kuwa ni Offside imenibidi tu nicheke
Sasa si bora wewe mimi naulizwa eeh kuna mchezaji anaitwa Jesus?! Mpira wa kuangalia nyumban tabu tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…