Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Confederation Cup ? Jamaa anaongelea World CupWewe ni Muongo Sana Cameroon amewahi mfunga Brazil Mara 1
Ilikuwa ni Fifa confederation ya mwaka 2003 kabla sijazaliwaMechi ya kirafiki au
Tumeondoka na Hasimu wetu, ingetuuma sana endapo angepita.Sioni matumaini hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣Ilikuwa ni Fifa confederation ya mwaka 2003 kabla sijazaliwa
Kocha wa Cameroon na kocha wa Senegal kama wanafanana hiviRefa wa Cameroon na Brazil namuelewaga kinyama. Hanaga maneno mengi..ukizingua Njano iliyonyooka chappp. No mbwembwe
Sasa si bora wewe mimi naulizwa eeh kuna mchezaji anaitwa Jesus?! Mpira wa kuangalia nyumban tabu tupuHuku TBC mambo ni tofauti kidogo
Mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa huu muonekano mbovu tunauona sisi tu ila hawa watangazaji wao ni clear HD kumbe nilikuwa nakosea
Mtangazaji anatafsiri tukio la foul kuwa ni Offside imenibidi tu nicheke
Na mi nimejisemea hapa. Wana kama kaufanano flan ivi....Kocha wa Cameroon na kocha wa Senegal kama wanafanana hivi
Tutaenda mwaka 2034Tutakuwa tumeshakufa wote humu! Hizo ni story za miaka ya elfu tatu(3000+) au elfu tano(5000+) mpaka elfu saba(7000+) huko😂