Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

1669976881290.png

Duh Mtaalamu Pele anaumwa huko Kwao... Get well Soon the Living Legend Edson Arantes DoNascimento
 
Huku TBC mambo ni tofauti kidogo

Mwanzo nilikuwa nafikiria kuwa huu muonekano mbovu tunauona sisi tu ila hawa watangazaji wao ni clear HD kumbe nilikuwa nakosea

Mtangazaji anatafsiri tukio la foul kuwa ni Offside imenibidi tu nicheke
 
Sasa si bora wewe mimi naulizwa eeh kuna mchezaji anaitwa Jesus?! Mpira wa kuangalia nyumban tabu tupu
 
Back
Top Bottom