Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!

Fohadi fan No. 1 wa Lionel niko hapa njoo niue...!!
Kama mimi tu
Sijawahi kumuadmire jamaa,japo yupo humble sana.

Na hawachukui kombe lolote.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unajua mali
 
Baambie mb....wa hawa
 
Argentina bado awajakutana na ile real taste ya aya mashindano kwenye robo fainali ndio wataona mashindano halisi ya WC kundi walilokuwa ni mdebwedo..
 
Tumchukii, hatumkubali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…