Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #15,421
Game over
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mimi tuKama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!
Fohadi fan No. 1 wa Lionel niko hapa njoo niue...!!
Unajua maliWanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.
Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.
Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.
Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Hatumchukii mtu, sisi hatumkubali tuHawamchukii bwana
Sasa wewe shabiki wa simba utamshabikia fei toto mkuu
Baambie mb....wa hawaWanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.
Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.
Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.
Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Hizi timu zilizomaliza wa pili kwenye makundi wengi ni tia maji tia majiKweli nimeamini.
Tumchukii, hatumkubali tuWanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.
Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.
Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.
Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Kama anaupiga unaonekana unaweka ushabiki pembeni unampa maua yake.Hawamchukii bwana
Sasa wewe shabiki wa simba utamshabikia fei toto mkuu
I love messi
Huenda wanacheza kulingana na mpinzani waliyenaye hivyo huenda wakabadilika.Wanaongelea kiushabiki tuu
Hawa Argentina km watapita hapa..Wakikutana na Netherland ndo itakua mwisho wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnachonga sana ila mechi ikija wanatoboaArgentina bado awajakutana na ile real taste ya aya mashindano kwenye robo fainali ndio wataona mashindano halisi ya WC kundi walilokuwa ni mdebwedo..
..😂😂😂
Duh mkuu hapo pagumu aseeKama anaupiga unaonekana unaweka ushabiki pembeni unampa maua yake.
Sasa mtu afanyeje sasa ili umkubali wewe mshabiki wa mpira? Maana Messi kashafanya kila kitu.Tumchukii, hatumkubali tu