Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kama mtachukua kombe 'lenyu' na Lionel 'wenyu' chukueni tu, ila sijawahi kuwa na mahaba ya dhati na Messi kabisa sijui kwanini..!!

Fohadi fan No. 1 wa Lionel niko hapa njoo niue...!!
Kama mimi tu
Sijawahi kumuadmire jamaa,japo yupo humble sana.

Na hawachukui kombe lolote.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.

Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.

Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.

Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Unajua mali
 
Baambie mb....wa hawa
 
Kweli nimeamini.
Hizi timu zilizomaliza wa pili kwenye makundi wengi ni tia maji tia maji

Kwa lugha ingine ni baiskeli za miti

Zikikutana na mlima hazipandi zinavunjika

images (83).jpeg
 
Wanaomchukia messi sijui tuwaweke kundi lipi?
Hao sio mashabiki wa mpira.
Kwasababu tukiachana na teams Uronaldo na Umessi.

Hakuna mchezaji mpira aliyetokea na full package ya jinsi ya kuucheza mchezo kuanzia passing, magoli, freekick, dribbling nk.

Wachezaji wengine wana aspects baadhi ilabyeye ana vyote.

Yani kumchukia messi na kuupenda mpira ni unafiki kama kumchukia Muhammad na kuupenda uislam.
Tumchukii, hatumkubali tu
 
Back
Top Bottom