Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tunauona uzuri wa tunaowakubali
Akina Mo salah na wengine wengi.

Hata kama ni mzuri,ila sisi siyo shabiki zake.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa madusko ni kwenye hizi level, huko tunakoenda ni kugumu zaidi na ndio nataka tuamue ubora wa mchezaji kupitia hizo mechi
Wataenda kukata mauno


Australia tumeamka dadeq[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Onaa hii mitakataka Miargentina inajifunga

Kuna beki wa Argentina hapa ni forward wa Australia pia

Come on Australia come onnnn[emoji108][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hata akichukua kombe najua hautamkubali kwasababu umeshajicondtition hivyo.
Hao kina Brazil kwan hajawahi kuwafunga? Ana goli zake 5 against Brazil.
Anyway Muda ni Yuda, subiri tuone akipita nusu utavyoanza kugeuka kama chapati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…