technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kesho Kuna kubwa jinga moja litapigwa😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa madusko ni kwenye hizi level, huko tunakoenda ni kugumu zaidi na ndio nataka tuamue ubora wa mchezaji kupitia hizo mechi
Tunauona uzuri wa tunaowakubaliNajua duniani huwezi kukubaliwa na kila mtu hata uwe mzuri vipi, ila lazima utakubaliwa na wale wanaouona huo uzuri wako.
Mfano unaweza kuwa mzuri kwenye boxing ila watu wengine wasikukubali kwasababu hawapendi mchezo wa ngumi.
ila ni ngumu kumkuta mshabiki wa ngumi hamkubali Muhamad Ali au Mike Tyson.
Au ukute mshabiki wa basketball hamkubali Mike Jordan.
Kwahyo ambao hamumkubali messi hamuuoni uzuri wake au?
Wataenda kukata maunoMwisho wa madusko ni kwenye hizi level, huko tunakoenda ni kugumu zaidi na ndio nataka tuamue ubora wa mchezaji kupitia hizo mechi
Wanapigwa Cha tatu Hawa😀😀😀😀😀😀Bado moja
Hiyo inaitwa shangilia ila usiniguseOoooooh nini tena hiki???
Tulikuwepo tangu mwanzoUtaona watu watajaaa kwenye uzi chap kisa tu Argentina karuhusu goli
Waliweza Saudia afu washindwe AustraliaWanapigwa Cha tatu Hawa😀😀😀😀😀😀
Hata akichukua kombe najua hautamkubali kwasababu umeshajicondtition hivyo.Abebe hili kombe, tena hata asipofika huko ila wakikutana na timu mbili kati ya Brazil au France halafu akapita basi mi ntaanza kumkubali
Sio magoli mepesi kama haya ambayo kipa anachomesha ndio mumpe sifaaaa
Nataka kuona hizi timu zenye wachezaji mastaa wakikutana na upinzani mkali sio hii kokota komota tunayiona hapa
Kama anacheza peke yake sawaMessi tupia goli la tatu