Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Screenshot_20221116-153601_1668669595181.jpg

Channel gani zitaonesha World Cip kwa Tanzania
Angalia hapo mkuu.
 
Hongera mkuu

Mimi portugal nilikua nashabikia enzi hizo wana kikosi cha dhahabu cha Nuno Gomez, Figo, Rui Costa, Conceicao ambae ni kocha wa porto kwa sasa.

Hii timu ilikua ya moto nakumbuka michuano ya Euro 2000 walikiwasha sana.
Akina nuno valente
 
 
 
Yaani jumla ya wachezaji wote ni 832 ligi ya Africa inatoa wachezaji 8 tu , bado tuna safari ndefu sana kisoka naskia ligi za ulaya zaidi ya wachezaji 500+.
afrika inatakiwa kuwaboresha kwanza mashindano yake ya vilabu, atleast yawe na muundo kama wa uefa......

pili, iboreshe maslahi ya wachezaji na benchi la ufundi.... ili kuvutia wachezaji wengi kubaki afrika.

tatu, nchi husika za afrika ziboreshe miundombinu ya soka, ikiwemo wataalamu i.e madaktari, na wasaidiz wa benchi la ufundi

wakifanya hayo, ndani ya miaka 5 kutakua na mabadiliko makubwa sana
 
Back
Top Bottom