MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Ndomana hata kununua dstv niliona miyeyusho umeme mpaka sasa haujarud toka asubuh[emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sanaThis kantri bana is vere poor...ndo nini kukata umeme muda huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiangalia hizi mechi tbc utakua unaangalia Wed cup,ila ukiangalia DSTV hapo sasa ndo unaangalia World cup.
Yaani wamesubir mechi inaanza wamekata...dahMkuu we acha tu.
Hawa Waholanzi wanafungika vizuri tu..ni kwamba tu Senegal hawajatulia vizuri na kutumia akiliSenegal hapa tutafute droo then tukalale mbele na Mwenyeji pamoja na Ecuador
We huoni "Mbashara" hapohii quality ya hii mechi hawa neds kama vidubwasha vinakimbizana uwanjani mpaka mchezaji achukuliwe kwa karibu ndio unajua ni mtu
ikiwa mbashara ndio quality inakia hivi mkuu??We huoni "Mbashara" hapo