Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Hayo ndo maneno Senegal. Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata South Korea na japan watafika mbali mkuuKiruuu
Hao waache waendelee kuuza maziwa
222, 223, 226 hapo utaona mechi zote kwa 56,000Naomba kuuliza..dstv wanaonesha game zote channel moja au zipo nyingi..nikitajiwa pia izo channels nitashukuru
Naomba kuuliza..dstv wanaonesha game zote channel moja au zipo nyingi..nikitajiwa pia izo channels nitashukuru
Miguu mirefu 🤣Mrefu kama peter crouch
Changamoto ni pale mbele tu angekuwepo mane game ingeisha mapema tuHata kipa wanae, sio kama yule shati la jana (team ya Qatar) SAAD
222,223,224,225,226Naomba kuuliza..dstv wanaonesha game zote channel moja au zipo nyingi..nikitajiwa pia izo channels nitashukuru
Angekuwepo yule wa Italy, asingeipata hiyo record.Golikipa wa Uholanzi ndio mchezaji mrefu zaidi katika Michuano ya mwaka huu