Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikwambia wanapelekewa motoDaaaah penalty!
Lakini safi
Second half wales wamepbana hawajaruhusu usa kucheza kabisa. Hii sub ya moore imebadilisha mechiAnything can happen any time
Tunapata draw ya kwanzaNilikwambia wanapelekewa moto
VAR haijaonesha hiyo controversial?Goli la bure
Hamna nazingua mkuu.VAR haijaonesha hiyo controversial?
Hawa wajinga nimeupenda huu utaratibu, Ramadhani Kayoka aje afanye hivi kwenye derbyDakika 9 za nyongeza
Wameongeza kipindi kingine😁Dakika 9 za nyongeza
Sio wewe ndo uongeze speed?😊Muwe mnapunguza kuchat sawa? Uzi unakimbia balaa