Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Asante mzabuzabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaTizama kwa hii chat hizo zenye FTA,kwa leo TBC wataonyesha hiyo ya France Vs Australia saa nne usiku.View attachment 2423764
Isiwe kweli aseeKuna uvumi unaoenea kuwa Messi hatoweza kucheza mechi ya kesho eti amepata injury, ni kweli?
Namuombea sana alibebe kabla hajastaafuKesho Dunia inaenda kushuhudia Messi akianza safari yake ya kubeba Ubingwa wa Dunia😂
Umeme wamekata ila natafuta mahali wanaonesha hii mechi si ya kukosaHakika kesho mnamo sa7 watu wataka kuiona [emoji1033] inavocheza.
Tuombe uzima kesho hakika mpr utatembea sana.
ahahaha unampamba kweli, Your mouth is so sweet lady! [emoji1787]Leo ni Leo ya Leo Messi
Baba wa football na chenga za kutisha...
Mwanga wa football
Jamaa mfupi lakini mwenye maajabu yake
A woman's tongue has to be sweeter than man'sahahaha unampamba kweli, Your mouth is so sweet lady! [emoji1787]
njoo tuangalie hapa kwangu tena full ac na savannah zimejaa tele 🤣Umeme wamekata ila natafuta mahali wanaonesha hii mechi si ya kukosa
Denmark weka ata mkeSasa jaman mm nataka kubeti
DERNMARK VS TUNISIA
nimpe nani??
Spain bingwaKati ya hawa mmoja wao atakuwa bingwa wa kombe la dunia mwaka huu :
1 - England
2 - Brazil
3 - France
Mpe denimarkSasa jaman mm nataka kubeti
DERNMARK VS TUNISIA
nimpe nani??
Usa bado, assume Uingereza anamfunga Usa mechi ijayo, wales anamfunga iran ama Iran anamfunga Wales hapo Uingereza anakuwa amefuzu, ina maana mechi ya Mwisho Uingereza na wales hawapangi full mziki watapumzisha watu kwa ajili ya Round 16 hivyo inakuwa mechi nyepesi kwa Wales.
Spain bingwa
Week end nimepiga savanna za kufa mtu sina hamu hatanjoo tuangalie hapa kwangu tena full ac na savannah zimejaa tele 🤣