The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Ronaldo wakati wake umeisha,umri umemtupa mkono..likija suala la kuwafananisha hawa jamaa ronaldo ni the best kwa mimi nionavyoAfu Ronaldo ni underrated?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo wakati wake umeisha,umri umemtupa mkono..likija suala la kuwafananisha hawa jamaa ronaldo ni the best kwa mimi nionavyoAfu Ronaldo ni underrated?
Weka hela mezani tubetiNa mimi yangu itolewe copy kama ushahidi....hamna cha Argentina wala Portugal. Wote watatoka
Subiri Swiss vs Brazil ndo ujue kwamba Brazil si lolote.Brazil na Nedherland hizo anza kuzihesabia semi finals. Ila kwa sasa hawa Argentina, France, Germany jua muda wowote wana kushangaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wueeeh. Nina ela ya dagaa tu apa. Kwanza mi taifa stars makaburu wote siwajuiWeka hela mezani tubeti
Basi huna bahatiAh wueeeh. Nina ela ya dagaa tu apa
Yule mDernmark wa Tanga, Yusuph mbona simuoni ? AU NI MAJERUHI?Denmark viazi tu
Ila Tunisia wameshachoka. Denmark wanaweza funga muda wowote.Kama mpira Wa Denmark ndio huu sioni wakifika 16, wanaweza kumpiga Australia lakini huko mbeleni hana kitu kipya cha kuonyesha
Poulsen? Nadhani hajaitwaYule mDernmark wa Tanga, Yusuph mbona simuoni ? AU NI MAJERUHI?
Nahisi yupo subYule mDernmark wa Tanga, Yusuph mbona simuoni ? AU NI MAJERUHI?
Yupo sub muda wowote ataingiaPoulsen? Nadhani hajaitwa
Denmark hawana vipaji vingi kiasi kwamba wasimuite mchezaji wa RB leipzig, yupoPoulsen? Nadhani hajaitwa
Yap lakini sioni wakicheza kutafuta ushindi wanacheza lolote kutokeaIla Tunisia wameshachoka. Denmark wanaweza funga muda wowote.
Sikujua maana poulsen hata RB leipzing huwa yuko subDenmark hawana vipaji vingi kiasi kwamba wasimuite mchezaji wa RB leipzig, yupo
Halafu angeshuti akakosa ungeanza kumlaumu ni mchoyo bora angetoa assistBadala ya kushuti ufunge eti unataka utoe assist