Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kama mpira Wa Denmark ndio huu sioni wakifika 16, wanaweza kumpiga Australia lakini huko mbeleni hana kitu kipya cha kuonyesha
 
Hili group Ufaransa kama bingwa mtetezi kazi anayo. Australia wanaweza kuwasuprise Ufaransa. Nikikumbuka Australia walivyoshinda kwa penalt dhidi ya Peru. Ufaransa kazi wanayo.
 
Tanesco hanaga kazi mbovu. Ila kwa pira hili waubebe tu..natumai saa nne utakuwa umerudi
 
Back
Top Bottom