Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
matokeo yakoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moroco 7, Croatia 3matokeo yakoje
Hawa Germany hawaimbwi sana lkn wanaweza kua kikwazo kwa team nyng.Kila la kheri chama langu chuma cha mjerumani enendeni mkafanye kweli sisi watanganyika tuko nyuma yenu!View attachment 2425037
sababu kubwa michuano inachezwa katikati ya msimu, wachezaji wa timu zote wapo fiti, hakuna distraction za usajili, hakuna uchovu wa ligi,Hakika hakuna timu nyepesi kwenye hii tournament...mwaka huu hakuna wa kubezwa.
Tulia mzeya....round ya kwanza ya group games watu hawafunguki. Kuanzia game za round ya pili utaona magoli maana watu lazima wafunguke maana kuna teams watakuwa wanahitaji kushindaHakika hakuna timu nyepesi kwenye hii tournament...mwaka huu hakuna wa kubezwa.
Ndiooooo
Kai wangu yuko 1st elevenNi mwendo wa kunyunyiza kama Sakho 😆 wajerumani tujuane jamani mapema sio mpaka tubebe kombe ndio mjitokeze.View attachment 2425054
Ni mwendo wa kunyunyiza kama Sakho 😆 wajerumani tujuane jamani mapema sio mpaka tubebe kombe ndio mjitokeze.View attachment 2425054
Kona auMoroco 7, Croatia 3
PoleeeeHapo tu kwenu wakati nasoma sikuwa naoga maji baridi 😁
Ndio huku nioge, naweza umwaa vibaya
Jamaa waliingia wasifungwe basi. But performance nzuri ishu magoli watayapata wapiMimi team Maroc, kutoka moyoni kabisa kwa leo.
Ujerumani je?Nimejaribu kupitia uzi mwanzo mwisho, ninao washangaa ni wanaosema Argentina watabeba kombe, nikajaribu kuangalia kikosi cha Argentina
Kipa: hakuna world class hapo
Beki: mpaka Otamend anaaanza ujue kuna shida hapo
Viungo, : ni wachezaji wa kawaida sana hakuna WC midfield pale, labda wamuazime chama[emoji1]
Washambuliaji: hapa wanao WC japo wengi jua limezama ambao ni tegemeo.
Hii timu haiwezi kuifunga hata uholanzi.
Portugal: wana majina mengi na talent ila hawachezi kitimu wako hovyo hovyo mbinu hamna
England: Kile kikosi alichoanza nacho vs Iran kinauwezo kufika Fainali
France: hawa nawapa nafasi japo beki inakatika mno
Brazil, mabishoo tuu hao safari yao robo fainal