Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kila la kheri chama langu chuma cha mjerumani enendeni mkafanye kweli sisi watanganyika tuko nyuma yenu!
20221123_144530.jpg
 
Hakika hakuna timu nyepesi kwenye hii tournament...mwaka huu hakuna wa kubezwa.
Tulia mzeya....round ya kwanza ya group games watu hawafunguki. Kuanzia game za round ya pili utaona magoli maana watu lazima wafunguke maana kuna teams watakuwa wanahitaji kushinda
 
Nimejaribu kupitia uzi mwanzo mwisho, ninao washangaa ni wanaosema Argentina watabeba kombe, nikajaribu kuangalia kikosi cha Argentina
Kipa: hakuna world class hapo

Beki: mpaka Otamend anaaanza ujue kuna shida hapo

Viungo, : ni wachezaji wa kawaida sana hakuna WC midfield pale, labda wamuazime chama[emoji1]

Washambuliaji: hapa wanao WC japo wengi jua limezama ambao ni tegemeo.

Hii timu haiwezi kuifunga hata uholanzi.

Portugal: wana majina mengi na talent ila hawachezi kitimu wako hovyo hovyo mbinu hamna

England: Kile kikosi alichoanza nacho vs Iran kinauwezo kufika Fainali

France: hawa nawapa nafasi japo beki inakatika mno

Brazil, mabishoo tuu hao safari yao robo fainal
 
Ujerumani je?
Lakini pia ukumbuke timu zinajijenga kadri michuano inavyiendelea. Japo kweli Argentina hana individuals wenye uwezo/majina, wengi wanacheza vilabu vy kawaida sana...kina Emi Martinez.
 
Back
Top Bottom