Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi ufaransa!!?Siku nyingine mkiona timu ina waafrika wengi msiibetie
Bingwa huyuHadi ufaransa!!?
Jana sikuicheki hiyo gameHadi ufaransa!!?
Ndo nashangaa kafungwa ubelgiji analaumiwa mweusiBingwa huyu
MteteziBingwa huyu
Na ndio safari yake itaishia apo timu Haina munganiko axel witsel kachoka sio yule tena beki zao umri umewatupa mkono hadi Leo hii Jan vertonghen na toby ndio beki zao zakutegemewa pale nyuma kocha anashindwa kumtumia vizuri hazard na Kevin huy dogo wa Everton analukaluka tu uwanjani njoo Kwa batshuayi nafasi mia anafunga goli mojaBelgium ataishia 16 bora endapo atafanikiwa kutoboa
Huwezi kushinda bila kuchanganyika na watu weusiNdo nashangaa kafungwa ubelgiji analaumiwa mweusi
Asante.... Ndomaana nchi ina wazungu kibao ila kikosi cha watu 11 hakosi mweusi..Huwezi kushinda bila kuchanganyika na watu weusi
Mmerudisha ngapi?Sema its just a matter of time canada watarudsha tu hata second half huko[emoji25]wana moto sana mmmh
🤭🤸Huko ndio kubet. Imagine nimeweka 20,000 matokeo yakitiki napata 28,000/=
🚮Bila yule kichomi , Senegal tungekuwa mbali.
Huoni kakupa hela ya kimasihara?Kuna muda unakaa, unajiona mjinga.
Najitafakari, nilimpaje Belgium? Yaani ni pressure tupu.
Ufaransa yenye weusi lukuki ndo bingwa mtetezi wa kombe la dunia. Ilikuaje?Siku nyingine mkiona timu ina waafrika wengi msiibetie
How come wakaipa Ufaransa kombe la dunia?Hii ngozi nyeusi Mungu kaijalia nguvu. Akili na maarifa sufuri. Honestly